MTU
mmoja aliyepata ajali na kuzimia kwa miaka 19 ameamka katika uzingizi wake na
kujikuta akishangaa nini kinaendelea duniani.
Mtu
huyo raia wa Poland alizimika wakati chama cha kikomunisti kipo madarakani na
siasa ya ujamaa ikitawala na kuamka chama hicho kikiwa hakipo madarakani na
ujamaa ukiwa umekufa.
Wakati
anazimika chakula na umeme vilikuwa vikipatikana kwa resheni na kuamka kila mtu
akiw abize kusaka chakula manake serikali haitoi tena wala haigawi kwa mfumo wa
kila mtu awe nacho japo kidogo.
Televisheni
ya Poland ilimuonesha mfanyakazi huyo wa zamani wa reli Jan Grzebski, 65, akielezea
kushangaa kwake na mabadiliko aliyoyakuta baada ya kuamka.
Inadaiwa
kwamba aligongwa na treni mwaka 1988.
Anaamini
kuamka kwake kunatokana na mapenzi makubwa aliyokuwa nayo mkewe Getruda ambaye
alikuwa anamhudumia kipindi chote cha yeye kuwa usingizini. Madaktari walisema
kwamba nafasi ya kuishi kwa mtu huyo ni miaka miwili au mitatu tu.
Alisema
kuamka kwake kumemfanya aone mabadiliko mengi na hasa kujaa kwa vituj madukani,
watu wanatamba na simu za mikononi njiani hali inayomfanya aone kizunguzungu .
"Now
I see people on the streets with mobile phones and there are so many goods in
the shops it makes my head spin," he told Polish television.
A
comatose patient is in a profound state of unconsciousness which renders them
unaware of both self and the world around them, and from which they cannot be
roused.
Although
those in a coma do not respond to stimuli in a meaningful way, contrary to
popular belief they do not always lie quiet and still - in some cases they can
move, open their eyes and even talk.
Fall
of communists
"It
was Gertruda that saved me, and I'll never forget it," Mr Grzebski told
news channel TVN24 of his recovery.
Mrs
Grzebski is reported to have moved her husband every hour to prevent bed sores.
"I
cried a lot, and I prayed a lot," Mrs Grzebski said on Polsat television.
"Those
who came to see us kept asking: 'When is he going to die?' But he's not
dead."
When
Mr Grzebski had his accident Poland was still ruled by its last communist
leader, Wojciech Jaruzelski.
"When
I went into a coma there was only tea and vinegar in the shops, meat was
rationed and huge petrol queues were everywhere," Mr Grzebski said.
The
following year's elections ushered in eastern Europe's first post-communist
government.
Poland
joined the Nato alliance in 1999 and the European Union in 2004.
"What
amazes me today is all these people who walk around with their mobile phones
and never stop moaning," said Mr Grzebski.
"I've
got nothing to complain about."