Blogger wetu (kushoto) akiwa na mdau, Philipo pembezoni mwa ufukwe (Beach) ya Mbamba bay
Blogger Daniel Mkate akiwa mchangani katika ufukwe wa Mbamba bay
Mvuvi akiwa na mtumbwi akitoka kusaka kitoweo cha samaki katika ufukwe wa Mbambabay
Wadau wakiwa katika mitaa ya Mbamba bay wakielekezana jambo