Mabaki ya jengo lililopo katika mtaa wa Indira Ghandi jijini Dar es Salaam, linavyoonekana baada ya kuporomoka asubuhi ya leo.
Baadhi ya hasara zilizopatikana baada ya kuanguka kwa jengo hilo la ghorofa 15. Mwenye gari hili nae yalimsibu
Ulinzi nao uliimarishwa...!
Kwa mbali jinsi hali ilivyokuwa baada ya kuporomoka kwa jengo hilo!