http://www.mkcomputertweaks.com/mkgroup/fkbmksb.gifMatangazo

Tangaza nasi: mkatedaniel@gmail.com, +255 7666-00 69 70, +255 655-00 69 71, +255 787- 249594

Usilikose kila Jumapili

Ijumaa, 29 Machi 2013

Maiti 17 wapatikana


Kutokana na ajali ya kuanguka kwa jengo la ghorofa 16 jana, mpaka kufikia asubuhi ya leo, maiti 17 wamefukuliwa kutoka katika kifusi.
Hiyo ni kwa mujibu wa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Mecky Sadik

Tutaendelea kuwaletea habari zaidi.....