Habari za kusikitisha ni kuwa Dr. Ferdinand Masau Mwanzilishi wa taasisi ya Tanzania Heart Institute (THI) ya Jijini DAR es SALAAM ambaye pia Daktari bingwa wa Magonjwa ya Moyo na Upasuaji amefariki dunia jana jioni katika hospitali ya Aga Khan.
Salamu za pole ziende kwa ndugu, jamaa na wafiwa wote waliokuwa karibu na waliomfahamu marehemu.
May he Rest In peace.
http://www.mkcomputertweaks.com/mkgroup/fkbmksb.gifMatangazo
Tangaza nasi: mkatedaniel@gmail.com, +255 7666-00 69 70, +255 655-00 69 71, +255 787- 249594