1.Kibaka aliyeiba simu akiwa amekaa katika dimbwi la maji machafu kujisalimisha na kipigo
2.Akijisikilizia maumivu baada ya kipigo
3. Akiomba msamaha baada ya kudai simu aliyoiba ameirejesha kwa mwenyewe
4. Niachieni jamani...ndivyo anavyosema kibaka huyo