Hii ni moja kati ya ngoma ambazo zipo ndani ya MixTape mpya inayoitwa Dream Big ya rapper Darassa ambayo ameachia Weekend hii.
Ambapo ngoma hii ya Mikono Juu ambayo amemshirikisha msanii Mchizi Mox
pamoja na mwanadada Shilole ndio ngoma ya kwanza kabisa kati ya ngoma 19
ambazo zilizopo ndani MixTape hiyo.