http://www.mkcomputertweaks.com/mkgroup/fkbmksb.gifMatangazo

Tangaza nasi: mkatedaniel@gmail.com, +255 7666-00 69 70, +255 655-00 69 71, +255 787- 249594

Usilikose kila Jumapili

Jumatano, 17 Aprili 2013

BREAKING NYUUUZZZZ!!! Bi Kidude hatunaye tena!

Gwiji la muziki hapa Tanzania BI Kidude amefariki dunia huko Zanzibar leo baada ya kuugua kwa muda mrefu. Habari kamili mtazidi kuzipata.
 
Mungu ailaze Roho ya Bi Kidude mahali pema peponi. Amen