Utafiti mpya unaonyesha kuwa kiwango cha elimu kina
uhusiano mkubwa na urefu wa binadamu. Ukiwa na elimu hafifu au ulitoroka
shule ya msingi au hukwenda kabisa basi uko mashakani wakati wa uzee
wako utakuwa umepungua urefu kwa sentimita 3 au zaidi.
*Lakini jipya zaidi, Je! Unafahamu kuwa wanaume ndio wanaosononeka zaidi au kuhuzunika sana wakikosa watoto ukilinganisha na wanawake wakiwa katika ndoa?
Chanzo: BBC (audio)