Sasa tatizo la ulevi limewavamia watoto walio chini ya umri wa miaka 10 nchini Uingereza na kusababisha wengine kulazwa hospitalini.
Wataalam wanasema karibu watoto wapatao 380
wamefikishwa hospitalini na kulazwa kutokana na kuchanganyikiwa
kulikosababishwa na ulevi.Kunywa pombe Uzeeni ni hatari kwa akili.
Mzee huanza kuwa na matatizo ya kusahau sahau na kuonekana mkosa hekima na busara.
AIDHA; Wataalam nchini Uingereza wamegundua kuwa muziki mwaafaka ni mtamu hata zaidi ya starehe ya NGONO...Muziki unamaliza uasherati.
Source: bbc